ENDELEA KUSHIKAMANA

Subscribe to our newsletter to receive the latest news

Mradi ROADMAP

Kwa sasa kampeni itajikita kwenye utayarishaji wa vipindi kwa ajili ya televisheni na mifumo mingine ya mtandaoni katika maeneo yafuatayo:

I. Hifadhi za TAWA

Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ikorongo, Kigosi, Kijershi, Liparamba, Lukwati, Piti, Lukwika, Lumesule, Msanjesi, Lwafi, Maswa, Mkungunero, Moyowosi, Rungwa, Kizigo, Muhesi, Uwanda, Rukwa, Selous, Swagaswaga, Mto Ugalla

II. Maeneo ya Usimamizi wa Wanyama pori (WMAs)

Burunge, Ikona, Ipole, Magingo, Makame, Makao, Mbarang’andu, Mbomipa, Nalika, Ngaramabe-Tapika, Ukutu, Uyumbu, Wami-Mbiki

III. Mbuga za TANAPA

Saadani, Mkomazi, Mahale, Kisiwa cha Rubondo, Kilimanjaro, Serengeti, Tarangire, Ziwa Manyara, Ruaha, Mikumi, Udzungwa, Kitulo, Katavi

IV. Maeneo mengine

Eneo la Hifadhi la Ngorongoro, Mbuga ya Baharini ya Mafia, Kisiwa cha Bongoyo, Kisiwa cha Mbudya, Hifadhi ya Baharini ya Sinda, Kilwa, Kondoa, Mbuga ya Baharini ya Tanga, Mji Mkongwe wa Zanzibar na Kisiwa cha Fanjove

FACEBOOK

500

INSTAGRAM

300

TWITTER

400
TOP