NINI

TALII-PENDA-LINDA© NI MKAKATI MAHUSUSI UNAOTUMIA NJIA MBALIMBALI ZA MAWASILIANO UNAOKUUNGANISHA NA MBUGA ZA AJABU ZA TANZANIA NA URITHI WAKE WA ASILI NA KITAMADUNI.

WAPI

MIFUMO YA VIUMBE HAI YA TANZANIA ILIYOPO NDANI NA NJE YA MBUGA ZAKE.

NANI

MKAKATI HUU UNAONGOZWA NA NURU AGENCY – TIMU YA WATU WENYE UJUZI KATIKA UTUNZAJI WA URITHI WA ASILI NA KITAMADUNI PAMOJA NA UKUZAJI WAKE KUPITIA FILAMU NA NJIA ZINGINE ZA MAWASILIANO.

LINI

KAMPENI YA TALII-PENDA-LINDA© ITAENDESHWA KWA MIAKA MIWILI (2018-2020)

VIPI

UANDAAJI WA MAUDHUI YENYE UBORA WA HALI YA JUU YANAYOJUMUISHA HISTORIA YA ASILI NA BURUDANI, WAKIWEMO PIA MABALOZI WA NIA NJEMA NA KUYASAMBAZA KUPITIA NJIA MBALIMBALI ZA MAWASILIANO.

WALENGWA

WATU WA AFRIKA MASHARIKI HASA WATANZANIA VIJANA WATU WA TABAKA LA KATI NA LA JUU WA AFRIKA MASHARIKI AMBAO TAYARI WANAMUDU KWENDA DUBAI, ULAYA NA AMERIKA LAKINI HAWAJATALII KUJIONEA HAZINA ZILIZOPO KWENYE MAZINGIRA YAO YA KARIBU.

TOP