ENDELEA KUSHIKAMANA

Subscribe to our newsletter to receive the latest news

EPISODE "0" - TV SERIES

Hiki ni kipindi kamili na vilevile ni kipindi cha majaribio ya mtiririko mzima wa vipindi 16 vya televisheni vya mkakati unaojulikana kama Talii-Thamini-Linda©.

Kipindi 0 ni hatua ya kwanza tu katika kuizindua kampeni ya "TTL" na kitatumika kuchangisha fedha kwa ajili ya mkakati mzima. Kampeni hii inalenga kuwafanya watu wa Afrika Mashariki, hasa Watanzania, wajivunie wanapogundua umiliki wao wa mifumo ya asili ya uhai pamoja na urithi mkubwa wa kitamaduni walio nao.

FACEBOOK

500

INSTAGRAM

300

TWITTER

400
TOP