TALII

Talii Uzuri Wetu

THAMINI

Thamini Tunacho Ona

LINDA

Urithi Wetu Siku Zijazo

SHIRIKI Upendo

Soma habari zetu na fuata maendeleo ya TTL

LOVE your Children

Meno ya chui hutumika kuvunja mafupa ili kuwapachakula wale wadogo.Meno yao hutumika kuwabeba kwa unyenyekevu.Mikono ya mwandamu hutumika kuvunja mafupa ili kuwapachakula watoto wao.Mikono ya mwanadamu hutumika kuwabeba kwa unyenyekevu.
Elewa upendo.Tufatilie
#TaliiThaminiLinda #ExploreLoveProtect #Love

LOVE your Nature

Kasa wadogo huacha magamba yao na haraka hurejea majini. Je ni wazo la msingi kwa upendo? Mvuto wa kiasili wa pale unazoitaji ka?
Hisi upendo, Tufatilie
#ExploreLoveProtect #TaliiThaminiLinda #Love #Wildlife

LOVE without boundaries

Mikuti Monkeys

“Upendo kamwe haupotei Bali uhifadhiwa”

~Methali Zakiafrika
Je Unafikiri Upendo unaweza kupotea?
Tafuta huo Upendo.Tufatilie #ELP_TTL #ExploreLoveProtect #TaliiThaminiLinda

LOVE in ACTION

Mapenzi yanapaswa yaoneshwe kwa vitendo sio maneno

Methali za kiswahili

    • Jali wadogo zako
    • Sherehekea jinsi gani mbali mmetoka  na wapi mnaelekea
    • Kumbatia historia na tamaduzi zako zikuongoze kwenye mwenendo wako kufikia Malengo

Kumbatia Upendo, tufuate: @ELP_TTL (twitter) , @exploreloveprotect (instagram), #exploreloveprotect #taliithaminilinda

EXPLORE far AWAY

Wabebe wanao mabegani ili macho yao yaone mbali (methali ya Kiafrika).

Fuatana nami… #TaliiThaminiLinda

TTL Instagram Feed

Something is wrong.
Instagram token error.

TWITTER

GOOGLE +

FACEBOOK

YOUTUBE

TOP